Chagua Ramani ya Nyumba Inayokidhi Mahitaji Yako, Kiwanja, Bajeti na Mapendeleo Yako ili Tuweze Kukusaidia kwa Njia ya Mtandao Ujenge Nyumba Yako ktk Ubora, Viwango, Uimara na Bajeti. Tumia Fundi Wako Huyohuyo na Wasanifu & Wahandisi Wetu Watamsaidia kwa Njia ya Mtandao ili Kuhakikisha Kuwa Nyumba Inajengwa Kama Tulivyoisanifu!
Jenga nyumba vyumba 3 inayotumia bati chache (~60) & tofali chache (~2000)
Jenga nyumba itakayokupa usalama & ustawi kwa familia yako
Jenga nyumba ya ndoto yako itakayokupa kuridhika na hamasa haswa
Jiunge uanachama ili uweze ona ramani ya mpangilio vyumba kabla hujanunua ramani kamili; Fahamu inahitaji PESA kiasi gani KUWEKEZA ktk biashara yako ili faida yake uitumie kama mtaji wa kujengea nyumba hiyo. Fahamu kiasi cha MKOPO UJENZI cha kuchukua na kurudisha kila mwezi ktk benki yako. Pia, utaweza ona GHARAMA za kujenga msingi, kuta, paa, dari, rangi, milango, madirisha... kwa nyumba zote ktk mtandao wetu, ili uweze CHAGUA, LINGANISHA, KUWEKA MIPANGO & MIKAKATI ya Jinsi ya Kuuendea Ujenzi Wako Vyema!